Bongo 5 Tanzania

Diamond afunguka ishu ya Harmonize kukosa visa ya kwenda nae kwenye tamasha la One Africa Fest nchini Marekani (+Video)

Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu mwanakundi mwenzake kutoka WCB, Harmonize kukosa Visa ya kusafiria kwenda Marekani kwenye tamasha la One Africa Music Fest lililofanyika wiki iliyopita, Ambayo alipangiwa atumbuize naye .Source link

Related posts

Rayvanny: Nitamfunika Harmonize Dar Live

uhondo news

Mwafrika aliyefaulu kwenda mwezini afariki kabla ya safari

uhondo news

‘Juuko Murshid ametoroka, tulisikia yupo Abu Dhabi, atakula adhabu wala hataenda kokote,’ – Mtendaji Mkuu Simba  Crescentius Magori (+video)

uhondo news