Bongo 5 Tanzania

Tanzania yakabidhiwa rasmi Uenyekiti wa SADC (+Video)

Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), aliyemaliza muda wake, Bi. Netumbo Nandi Ndaitwah kutoka Namibia, amekabidhi rasmi madaraka hayo kwa Mwenyekiti mpya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi katika mkutano uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC)  Jijini Dar es Salaam leo Jumanne Agosti 13, 2019 .Source link

Related posts

Tiwa Savage stranded in Nairobi over unpaid bills as promoter goes missing

uhondo news

#Live: Waziri Mkuu akitoa maagizo makali alivyotembelea maonyesho SADC – Video

uhondo news

BAADA YA KUMWAGANA NA DOGO JANJA…UWOYA NDOA TENA!

uhondo news

Leave a Comment